MFAHAMU JINI CHEKETU (2)

jini cheketu

VIPI UTAJIJUA UMEINGIWA NA JINI CHEKETU?

Hizi ni baadhi ya dalili muhimu za mtu ambaye ameingiwa na jini wa cheketu

(1)kila uamkapo mwili unauma bila sababu

(2)kila unapokaa au kutembea unahisi unafuatwa na kivuli cha mtu

(3)Kila ufikapo usiku huwa unalala kupita kiasi

(4)Mwili kuchoka saana bila kufanya kazi yoyote

(5)kifua kubana

(6 )mbavu kuuma

hapo juu nimekueleza kuwa pia jini huyu hushirikiana na wanga kukupiga chale mwilini mwako ambazo huwa kama alama kwao ngoja nikugusie kidogo .

                                                       AINA ZA CHALE ZA WANGA

1.chale za wanga wanaotaka kukufanya msukule

2.chale za kukukaribisha kwenye vikao vyao vya kichawi

3.chale za kukujulisha kwa wachawi kuwa wazazi/wazee wako wewe pia ni wachawi

4.chale za kuiba kivuli chako kitumike kwenye uchawi uonekane wewe mchawi

5.chale za mchawi mwenyewe zinamjulisha kwa wachawi wenzie kuwa ni mwenzao

WACHAWI WAKIKUPIGA CHALE ZAO JUA YA KWAMBA CHALE HIZO ZINA MAANA YEKE WALIYOKUSUDIA  KIUJUMLA

(1)Mambo yako kuwa magumu

(2)kujikuta umekatwa katwa mwilini wakati jana ulipoenda kulala ulikuwa safi

(2)kila ikifikaa saa 7mpaka 8usiku lazima ushituke

(3)utasingiziwa unawaroga watu mtaani kwenu

(4)utachukiwa na kuambiwa unaringa wakati kiuhalisia haupo hivyo

ukiona hivyo jua kwamba wanga wamekupiga chale ambazo huwa kama muhuri popote uendapo utajulikana kwa chale hizo

Kama unasumbuliwa na ndoto mbaya, wachawi, wanga, biashara haiendi vizuri, ondoa shaka. PIGA : 0658 87 20 26

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s