UJUE MTI UNAOHESHIMIWA NA MAJINI WA AINA ZOTE.

mwinula

Mti huo si mwingine bali ni mwinula,mvumbula au wengine wanauita mvumbasi. Mti huu kama kuna jini ana kusumbua kwa kukuletea ukorofi wa kukuminya minya mwili au kichwa kuumwa basi ukichukua tu majani yake ukayapikicha na kuyaogea basi huyo jini anatulia mwenyewe

Mti huu unapowekwa katika nyungu unawasogeza karibu majini wote wa bara na wale wa pwani. Ukichukua mti huu ukatembea nao mfukoni basi ukienda sehemu kuomba chochote inakua ni nadra sana kukataliwa kwa kuwa ndani ya huo mti kuna jini ambaye anausimamia na kuupa nguvu.

Kwa mtu alietawaliwa na MAJINI wa kiarabu anashauriwa anapokogea majani ya mti huo achanganye na maji ya marashi rose ili kuwaweka sawa majini wake na kuwafanya wasigombane au kumuumi, licha ya mti huo kutoa nuksi pia una nguvu ya kupambana na uchawi.

Kama unasumbuliwa na majini, mashetani, wachawi na unahitaji kupatiwa mti huu, wasiliana na Ostadh Nurdini : 0655 79 33 35

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s