WANAFUNZI 36 WAFARIKI KATIKA AJALI MBAYA YA GARI

Ajali ya wanafunzi

Taifa la Tanzania limepata msiba mkubwa kufuatia kifo cha wanafunzi wapatao 36 kufariki Dunia katika ajali ya gari.

Wanafunzi hao wa shule ya msingi ya  Lucky Vicent walikuwa wakielekea Karatu kwa ziara ya kimasomo.

Mtoto pekee alienusurika amesimulia chanzo cha ajali na amesema kuwa gari lilifeli break tokea mwanzo wa kushuka mlima.

Ajali Arusha

Majina ya wanafunzi waliofarikiMajina ya wanafunzi Arusha

inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s