JINSI YA KUKUTANA NA ULIYEMKUSUDIA

mahusiano

MAHITAJI :  

  • Uzi mwekundu au Ribon nyekundu
  • vishikizo vya mishumaa na mishumaa ya rangi ya Pinki miwili. (Mshumaa mmoja unakuwakilisha wewe na mwengine mpenzi wako)

MATUMIZI

  1. Siku ya kwanza Funga vishikizo viwili vya mishumaa viwe mbali mbali lakini uzi uwe umeregeya.(Usiwashe Mishumaa)
  2. Siku ya pili fungua uzi ,sogeza vishikizo karibu, halafu funga tena uzi au riboni (Hakikisha vishikizo vya mshumaa vigusane).
  3. Ita jina la unayemkusudia mara saba na ueleze unachokitaka kwake.
  4. Washa mishumaa yote kwa muda wa saa nzima halafu izime.katika muda huo wewe usikae hapo
  5. Fanya hivi kwa siku nne. Siku ya Tano kaa na ile mishumaa kwa muda wa saa nzima halafu izime.
  6. Fungua uzi, ribon na uweke kama azma (hirizi,amulet) yako ya mapenzi

 

Kwa Maoni, Ushauri na Tiba : 0655 46 04 56

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s