UNACHOTAKIWA KUFANYA IKIWA UMEAMKA GHAFLA USIKU?

Woman lying in bed sleepless

Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema, hii imatokana na kuamka ghafla nyakati za usiku.

Inapotokea umeamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia, mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu ya kuamka ghafla.

Kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye Ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.

USHAURI 

  • Tumia walau dakika tatu(3) na nusu kufanya yafuatayo.
  • Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.
  • Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.
  • Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.
  • Baada ya dakika tatu(3) na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye Ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi

Wataalamu wanasema ukifuata hatua hizo hapo juu, utakuwa umepunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka.

KUMBUKA : Tatizo hili hutokea bila kujali umri

Kwa Maoni na Ushauri : 0783 83 70 93

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s