TAHARUKI : TETEMEKO LA ARDHI LATOKEA TENA MKOANI KAGERA

Tetemeko la Ardhi

Mkoa wa Kagera wakumbwa tena na tetemeko la ardhi usiku wa kuamkia leo lililodumu kwa sekunde 30. Mkuu wa mkoa athibitisha.

Hofu hiyo inatokana na tetemeko la ukubwa wa 5.7 kwa vipimo vya Richter lililotokea mkoani hapa Septemba mwaka jana na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 10 majeruhi takriban 200 na mamia wengine kukosa makazi.

Chanzo : ITV Tanzania

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s