ATHARI ZA JINI MAHABA KWA WANAWAKE

jini mahaba

Jini mahaba ni tatizo sugu linalowasumbua watu wengi, na tuliwahikusema kuwa sababu kuu ya uwepo wa jini huyo ni giza la kiroho linaloundwa na akinamama bila ya wao kutambua.

Sasa anapofanikiwa kumkamata mwanamke, alama ya kumtambulisha kuwa yupo huwa ni kutohisi hamu ya kufanya tendo la ndoa na kujisikia kuwa mkali pale mume anapoulizia swala hilo.

Wakati mwingine anakuwa na majibu machafu na  kero ili mradi tu mgombane halafu mume ageukie ukutani au alale na suruali na hapo ndipo jini huyo huja yeye na kufaidi tendo.

Mpenzi msomaji jini huyu ni chachu ya kuvunjika kwa maelewano kati ya wawili wapendanao na kinadada wengi tayari wameshakimbiwa na watu wao kwa sababu ya jini huyu.

Pia katika mazingira kama hayo mwanamke hujisikia raha zaidi ya ile anayoipata wakati akilala na mwanaume wa kibinadamu.

Wakati mwingine jini huyu husababisha maumivu sehemu ya tumbo hususan pale inapofikia wakati wa kutaka kufanya mapenzi, jini huyu pia husababisha mvurugiko wa vipindi vya mwezi na maumivu wakati wa kuingia au kabla ya kuingia katika siku hizo.

KUMBUKA : Jini huyu ni katika sababu za kuto pata ujauzito na mimba kuharibika.

Kwa Maoni, Ushauri na Tiba : 0755 34 63 08

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s