ANTHONY JOSHUA AMTWANGA WLADIMIR KWA K.O

Anthony Joshua ameonyesha kuwa yeye ndiye mfalme mpya wa ngumi za kulipwa kwa uzito wa juu baada ya kumshinda mkongwe Wladimir Klitschko kwa TKO katika raundi ya 11.
wlamidir
Pambano hilo la raundi 12 kwenye Uwanja wa Wembley jijini London, England lilikuwa kali na la kuvutia. Mara kadhaa, Joshua alishambulia lakini Klitschko alionekana ni mwepesi na mjanja tofauti na mapambano mengine.
Antony Joshua
Joshua ndiye alikuwa wa kwanza kukubali kuanguka na baadaye akajibu mashambulizi na kumuangusha Klitschko. Lakini mwamuzi kutoka Marekani alilazimika kusimamisha pambano katika raundi ya 11 baada ya Joshua kushambulia mfululizo.
AJ
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s