IJUE DAWA YA KUACHA SIGARA, POMBE NA MADAWA YA KULEVYA

POMBE NA SIGARA

Uvutaji wa sigara na madawa ya kulevya umekuwa ukigharimu nguvu kazi ya Taifa hasa kwa vijana ambao ni Taifa la leo.

Tumekuwa tukishuhudia ndugu, jamaa na marafiki wakiteswa na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya kama vile :

  • Unywaji wa pombe
  • Bangi
  • Sigara
  • Mirungi
  • Ugoro
  • madawa mengine ya kulevya

Ndugu msomaji wa blogu ya ASILI ZETU nimekuletea dawa ya tatazo lako yenye uwezo mkubwa wa kumaliza shida yako.

MAHITAJI

  • Chukua dawa inayoitwa MURDA , chukua majani yake uyaanike yakauke

MATUMIZI

  • Kisha chukua majani hayo na uyasokote kama sigara, kisha vuta msokoto huo nusu asubuhi na nusu yake jioni , yaani kutwa mara mbili
  • Dawa hiyo utayumia kwa siku tano tuu. Hakika hutotamani walakutimia tena vilevi vyako
  • Dawa hii ilivyo mujarabu ukivuta mara ya kwanza tu hapo hapo jaribu kuvuta bhangi au sigara au kunywa Hakika utaona inakukera sanaa na ni mbaya

Kwa mawasiliano na tiba wasiliana nasi :

Dokta Sule : 0658 87 20 26

 

Advertisements

2 responses to “IJUE DAWA YA KUACHA SIGARA, POMBE NA MADAWA YA KULEVYA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s