TANZANIA YASHIKA NAFASI YA 4 KATIKA USOMAJI WA Q’URAN DUNIANI

Rajai Ayoub

Mwakilishi pekee kutoka Tanzania, Rajai Ayoub ameweza kututoa kimasomaso watanzania baada ya kuibuka mshindi wa nne(4) katika mashindano ya Dunia ya kusoma Q’uran.

“Matokeo yametoka na hapa Nikiwa na mshindi wa mashindano ya Qurani kutoka mocoro Wapili Bahrain watatu Uturuk. Tz Tumeishishia nafasi ya NNE Ahsantum kwa Dua zenu na tupo pamoja”. aliandika Rajai kwenye ukurasa wake wa Instagram

Ikumbukwe hapo awali,  kijana Rajai alifanikiwa kuibuka mshindi nambari moja kwa usomaji mahiri wa Q’uran kwa kuyashinda mataifa mengine, na kufanikiwa kupata zawadi kemkem ikiwemo kitita cha fedha za kigeni na zawadi nyingine.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s