KAUSHA MAJI UKENI KWA KUTUMIA NJIA HII

Alek Wek

Kuna tatizo ambalo wanawake wengi huwasumbua, ambalo ni kutokwa na maji ukeni, tatizo hilo laweza sababishwa na mwanamke kutumia sana njia za uzazi wa mpango kwa dawa za kizungu au kutokandwa maji baada ya kujifungua.

Iwapo wewe ni mwanamke na unasumbuliwa na hili tatizo, hali inayopelekea kutaka kuvunja ndoa au mahusianio yako, wala usiwe na shaka, unachotakiwa kufanya ni kuandaa vitu hivi :

  • Asali mbichi ya nyuki
  • Mafuta ya Zaituni

Utachanganya vizuri mchanganyiko wako vizuri, alafu uwe unakula unakunywa ujazo wa kijiko cha chakula asubuhi na usiku.

kisha kabla ya kuoga upake asali ukeni, kaa baada ya dakika 30 nenda  kaoge na kujisafisha vizuri. Fanya hivyo asubuhi na jioni mpaka maji yatakapokata.

Dokta Sule ni mtaalamu wa tiba asili, anatibu magonjwa yote na anazo dawa kwa ajili ya kurefusha uume na kunenepesha uume, kukausha maji ukeni, kuondoa harufu ukeni,figo, moyo, miguu kuwaka moto.mtafute kupitia : 0658 87 20 26

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s