HAYA NDIO MADHARA YA WAPIGA PUNYETO

Punyeto

Punyeto Ni kitendo cha Mwanamme au Mwanamke kuamua kujichua kwenye sehemu zake za viungo vya uzazi (Uume au Uke), kwa kutumia mikono au vifaa maalum vya kujichulia maarufu kama Dildo.

Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo yafuatayo katika mwili wake :

  •  Huuwa nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa uume.
  • Mishipa ya uume inaposinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo:

(i). Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu nyingi sana katika kuufanya uume usimame.

(ii). Huondoa uwezo wa mishipa na misuli ya uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena, na hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani damu inayo ingia kwenye misuli ya uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana.

Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli ya uume inakuwa imelegea na mishipa ya vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya mishipa ya vena kufunguka na kufyonza damu kutoka kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana.

Kama wewe ni mmoja wa wahanga wa punyeto na unaona kabisa nguvu zako za kiume zimepungua na unataka kuacha, wasiliana na Dokta Sule : 0658 87 20 26

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s