BAWASILI – UVIMBE SEHEMU YA HAJA KUBWA

Bawasili

Bawasili ni mojawapo ya tatizo ambalo mara nyingi linapotokea humfanya mtu kuwa na aibu kuelezea Tatizo Lake, ni wa chache Sana Ambao Hujitambua na Kuweza Kutafuta Ufumbuzi ili wawe Salama kwa sababu tatizo hili ni hatari sana hupelekea hata kupata umauti.

Bawasili au Hemorrhoids husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

                                           KUNA AINA MBILI ZA BAWASILI

  •  Bawasili ya Ndani 
  • Bawasili ya Nje

                                                          BAWASILI YA NJE 

Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huweza kuambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo.

Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.

                                                        BAWASILI YA NDANI

Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haimbatani na maumivu na wengi huwa hawatambui kuwa wanatatizo hili au wale  wanaotambua pia Upuuzia : TATIZO hili ni Hatari ni vyema kuliwahi mapema:

Kwa mahitaji ya dawa Ya asili isiyo na madhara kwa mtumiaji wa aina yoyote ile tuwasiliane ili uweze kutoa tatizo hili ni hatari sana: 0755 34 63 08

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s