MBWANA SAMATTA AONYESHA NDINGA YAKE

Mafanikio kamwe hayawezi kuja ndotoni, zaidi huletwa kwa kujituma, uvumilivu, jitihada na kumuomba Mwenyezi Mungu.

Mbwana Samatta Image1

Nakumbuka kipindi Samatta akiwania namba Simba Sports Club, alikuwa akiwahi kufika mapema uwanjani kabla ya wachezaji wenzake.

Hatimaye jitihada hizo zimeweza kuzaa na kumletea matunda ambayo anayafurahia kwa sasa katika kilabu cha soka cha kimataifa ‘KRC Genk’ inayoshiriki ligi kuu ya mpira wa miguu nchini Ubelgiji.

Mbwana Samatta amekuwa mchezaji tegemezi kwenye klabu yake ya Genk hasa katika safu ya ushambuliaji, pia kuna tetesi za vilabu vikubwa barani ulaya kumtolea macho kwa lengo la kumuhitaji.

Samatta amepamba ukurasa wake rasmi wa Instagram kwa kutupia picha za ndinga yake mpya aliyonunua aina ya Mercedes Benz, huku picha nyingine akiwa amevaa jezi ya Yanga No.27 inayovaliwa na swahiba wake Msuva wa Yanga.

Mbwana Samatta

Samagoal

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s