HARMORAPA NA SIRI NZITO NYUMA YAKE

Harmorapa

Muziki wa Bongo Fleva unazidi kupiga hatua moja kwenda nyingine kila uchwao, hiyo ni kutokana na vijana wa kitanzania walioamua kuuufanya kuwa sehemu ya ajira na kuwaingizia kipato.

Ukimzungumzia mtu kama Naseeb Abdul A.K.A Diamond, anafaa kuwa mfano tosha na wakuigwa hasa kutokana na mafanikio makubwa aliyonayo kupitia sanaa ya muziki huo.

Kila siku wasanii wapya wanaibuka na kujaribu kuleta ushindani katika soko la muziki wa Bongo mfano mzuri ni mwanamuziki HARMORAPA ambaye amejizolea umaarufu mkubwa na kuwa gumzo kubwa kwa mashabiki wa medani ya muziki.

Blogu yetu ilifanya mahojiano na moja wa watu wa karibu wa mwanamuziki huyo ambaye hakupenda jina lake kuandikwa, ambaye alikuwa na haya ya kusema :

“Kijana anazidi kufanya vizuri, hata ukiangalia shoo yake aliyofanya Dar Live kwenye sikukuu ya Pasaka na mashabiki walivyofurika kumshuhudia, kusema kweli nyota yake inawkaa kila kukicha”.

Hakuishia hapo, aliendelea mbele zaidi : 

“Unajua ndugu yangu huyu dogo(Harmorapa) licha ya kuwa na menejimenti nzuri, anaye mtaalam wake mmoja ambaye amekuwa akiwasaidia wasanii wengi nchini anaitwa Nguvumali, asikwambie mtu ni kiboko”.

Baada ya kuunyaka ubuyu huo, mhariri wa blogu ya ASILI ZETU alimpigia simu Ostadh Nguvumali kupitia simu yake ya kiganjani 0655 460 456, ambapo alikiri kumfahamu Harmorapa kama mteja wake.

“Nisingependa kutoa siri za mteja wangu, maana kulingana na kazi zangu sipaswi kusema chochote, lakini nimewasaidia wasanii wengi kuweza kutoka kwenye masuala yao ya kimuziki halikadhalika na wafanyabiashara”.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s