YAFAHAMU MAKAAZI YA MAJINI NA MUDA WANAOWEZA KUPATIKANA(1)

Majinni

Majini wanaishi hapa hapa duniani wanapoishi binadamu. Wengi miongoni mwao huweza kukutanika kwenye magofu na maeneo makongwe (miji mikongwe).

Pia hukutanika mahali palipo na najisi nyingi kama vile chooni, kwenye vichaka vya bangi, mazizi ya ngamia na Makaburini.

Ndiyo sababu Mwanazuoni Ibn Taimiya amesema kuwa wale waliokaribu na Ibilisi mara nyingi hukaa kwenye maeneo hayo.

Kuna Hadith zisemazo kuwa mtu asiswalie chooni kwa sababu ya najisi iliyomo humo na kwa sababu hayo ni makazi ya shetani na asiswalie makaburini kwani jambo hili hupelekea kwenye ushirikina na pia makaburini ndiyo makazi ya Mashetani.

Aidha Mashetani wengi wa kijini wapo kwenye maeneo yanayoweza kuwa vyanzo vya maasi kama vile sokoni. Mtume (saw) alimpa Swahaba mmoja nasaha hizi

“Ukiweza, basi usiwe mtu wa kwanza kuingia sokoni. Na usiwe mtu wa mwisho kuondoka sokoni. Kwani hayo ni makazi ya Ibilisi na humo ndimo anamosimamisha bendera yake.” Hadith hii imenakiliwa katika Sahih Muslim.

Mwanzo wa makala hii ndio muendelezo wa makala nyingine, nakusihi mpenzi msomaji uendelee kutembelee blogu ya ASILI ZETU kuweza kujua zaidi sehemu wazipendazo majini kukaa na muda wanaoweza kupatikana.

Wale wanaohitaji kufanyiwa visomo vya dua, wanaosumbuliwa na majini, maruhani na mashwetani, wasiliana na Ostadh Kitengula : 0755 34 63 08

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s