IFAHAMU JUISI YA AJABU YENYE UWEZO MKUBWA

juice

Ni mchanganyiko wa vitu vifuatavyo:-
1. Asali ya nyuki wadogo
2. korosho safi zilizokaangwa vizuri
3. Mdalasini wa India

MATUMIZI.
Ukiamka asubuhi kabla haujala kitu chochote kula vijiko 3 vya chai
Pia usiku kabla ya kulala kula vijiko vitatu

MUDA:
Tumia Juice hiyo Mwezi Mzima bila kuacha hata siku moja

FAIDA ZAKE
1. Uwezekano wa kupata Mtoto unakuwepo kwani asali ya nyuki wadogo inavirutubisho lukuki inasafisha mishipa ya damu na kuondoa Lehemu mwilini.
2. Kuondoa sumu mwilini ya madawa uliyotumiwa haswa unapotumia asali iliyo na mchnganyiko na Mdalasini
3. Huzuia vijiwe kwenye mfuko wa Nyongo… huu ni ugonjwa hatari sa
4.Ngozi kuwa nyororo kwa kutumia juisi hii mwezi mmoja tu
5. Uwezo wa macho kuona huongezeka
6. Uzito mwilini utapungua na utakua mwepesi sana kwa kila jambo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s