ZIJUE FAIDA 10 ZA NYANYA

Nyanya

Natumaini kwa uwezo aliotupatia Allah na kwa rehema zake mnaendelea salama wapenzi wasomaji wa blogu ya asili zetu.

Kipindi mwenyezi Mungu anaumba Dunia, aliumba wanyama na mimea na miongoni mwa mimea hiyo ni nyanya.

Mnyanya ni mmea ambao daima hutambaa, ambao hukuzwa kwa makusudi ya kutumiwa na watu, Matunda yake yanaitwa nyanya.

Hivyo nimeona ni vyema nikuletee faida 10 za mmea huu ambao huenda ulikuwa unautumia pasipokujua faida zake .

  1. Kupunguza hatari za magonjwa ya moyo
  2. Kuzuia magonjwa ya figo (Kidney stones)
  3. Kuondoa Kolesteroli mwilini
  4. Kuimarisha kinga mwilini
  5. Kuzuia saratani mwilini
  6. Kusafisha damu
  7. Kujenga ngozi yenye afya
  8. Kupunguza uwezekano wa magonjwa ya moyo
  9. Kupunguza maumivu ya kichwa (Migraines)
  10. Kuboresha mifupa mwilini

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s