VIAGRA BILA USHAURI WA DAKTARI NI HATARI

VIAGRA

Viagra bila ushauri wa daktari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza uhai wake.

Inaelezwa kwamba Kadri mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwasababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi.

Hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelance ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza dozi yake ili apate nguvu zinazomtosheleza ) mwisho wa siku dawa hizi hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.

Kama ulikuwa ufahamu, Mtu anaetumia Viagra yuko hatarini kupata ukiziwi, kupoteza uwezo wa kuona hii ni kutokana kwamba dawa hizi hua baadhi ya viachocheo vinavyofanya kzai ya kusafirisha mwanga na picha kuelekea katika mfumo wa fahamu kuharibiwa na dawa.

Napenda kutoa ushauri kwa watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, kuweza kuangalia upande wa pili wa tiba za mitishamba ambazo nimeshuhudia zikifanya kazi.

Napenda kukushauri kuepukana kukimbilia kutumia dawa hizi Viagra kwani ni hatari sana.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s