UCHAWI NI NINI?

Uchawi

Uchawi ni jambo ambalo uhusishwa au kukaribishwa kwa shetani wa kijini na kutakiwa msaada kutokana na jambo hilo.

Asili ya Uchawi nikubadilika kitu kutoka katika hali yake ya hakika na kwenda katika hali nyingine.

Uchawi pia huweza kukitoa kitu katika hali ya uzuri na kwenda katika hali ya ubaya au jambo ambalo uhusishwa na mambo yaliyofichika sababu zake na(kubadilisha) kubadilika kitu kutoka katika hakika yake na kupita katika mapito ya hadaa.

Uchawi inaweza ikawa ni maneno yenye kuzungumzwa au maandishi yenye kuandikwa au vitendo vyenye kufanywa kwa nia ya mwenye kufanya uchawi huo, kisha kuathirika, kupata madhara yule aliyekusudiwa.

Ushahidi wa kuwepo kwa uchawi umekuwepo tangu enzi za mfalme suleimani na katika enzi za nabii Mussa wakati ule wa mfalme Farao.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s