UCHAMBUZI WA MAJINI

uchambuzi-wa-majini

 

Jinni ni neno la kiarabu maana yake ni kitu kilichostririka (si chenye kuonekana), hivyo basi jinni kiasili si mwenye kuonekana.

Ina maana si mwenye kuonekana katika maumbile kamili ambayo Mwenyezi Mungu amemuumba ispokuwa huonekana katika maumbile badala kama vile katika umbile la mwanadamu, simba, Nyoka na kadhalika.

Majini wamegawanyika katika makundi makuu matatu (3), wapo wanaoruka, wapo wanaotembea kwa miguu na wapo wanaotambaa.

Katika haya makundi matatu wamegawanyika katika makundi mawili ambayo ni :

(1). Wapo waislam (2). Wapo wasio waislam. Hili kundi la kwanza ni majini wenye sifa ya ucha mungu na hufanya yale ambayo Mwenyezi Mungu ameyaagiza kwa maana huswali na mengineyo.

Kundi la Pili lina mchanganyiko, kuna majini naswara, majusi na kadhalika, hivyo basi majini wote wanatoka katika makundi matatu.

Wapo majini wanaokula kama wanavyokula wanadamu na kunywa, wapo wasio kula wala kunywa, pia wapo wanaokufa kama wanadamu na wasiokufa mpaka siku ya kiama.

Kwa hiyo ndugu yangu jinni anatamani kama unavyotamani mwanadamu, kuna jinni mchamungu kama alaivyomchamungu mwanadamu, wapo mashekhe, wazinifu, wahuni, matapeli na kuna wengine wezi.

Hivyo basi kuna sifa ambazo tunakaribiana na kuna sifa ambazo tunatofautiana,  na hili la jina la shetani huvishwa jinni au mwanadamu kutokana na kutoka katika twaa ya Mwenyezi Mungu.

Makala hii ni ndefu sana mpenzi msomaji wa blogu hii, endelea kutembelea ili uweze kujifunza, kujikinga na kufahamu mengi juu ya viumbe hawa.

Kwa wale wanaosumbuliwa na majini, ndoto mbaya, mikosi, kufukuzwa kazi, kushushwa cheo, mvuto wa biashara, wasiliana na  Ostadh Nguvumali kwa simu No. 0655 46 04 56

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s