GWIJI WA LIVERPOOL ‘JOHN BARNES’ ATUA DAR

John Barneys aliyevaa koti akipewa maelezo na wenyeji wake

John Barneys aliyevaa koti akipewa maelezo kutoka kwa wenyeji wake

Gwiji wa mpira wa miguu aliyewahi kuchezea vilabu vikubwa Ulaya, ikiwemo Liverpool ‘John Barnes’ amewasili Dar es salaam na kupokelewa kwa shangwe na mashabiki wa majogoo wa jiji la London.

Barnes amewasili March  02, mchana ambapo lengo la ziara yake hiyo ni kutoa mafunzo kwa vijana wanaoshiriki soka chini ya miaka 17 sambamba kabisa na timu ya vijana ya Serengeti Boys.

Tazama Video ya mapokezi

Video : Millardayo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s