WEMA SEPETU AJIUNGA RASMI CHADEMA

wema-sepetu

Miss Tanzania 2006,  Wema Abraham Sepetu ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Wema ameitisha mkutano na waandishi wa habari nyumbani kwao Sinza Dar es salaam, ambapo yeye na mama yake wote wamejiunga kwenye chama hicho pinzani.

Awali ‘Wema’ ambaye ni mtoto wa balozi marehemu Abrahamu sepetu, alikuwa akikitumikia kwa hali na mali Chama na Mapinduzi hasa kwenye kampeni zao za uchaguzi mwaka 2015.

Jana kwenye viunga vya mahakama yakuu Dar es salaam, Mwigizaji Wema Sepetu alionekana ameungana na viongozi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Ambapo muda mfupi baada ya kuonekana pamoja, Msemaji wa CHADEMA alithibitisha kuwa wanatarajia kumtangaza kama Mwanachama.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s