KUTO KUOA AU KUOLEWA

ndoa

Ndoa ni moja kati ya sunnah zilizo na nguvu sana. Na ni sehemu ya maisha ya mwanadam. Ndoa yawezekana ikawa ni wajibu, ndoa yawezekana ikawa ni Sunnah.

Wajibu : Ndo inayokuwa na wajibu kwa yule ambaye hawezi kuizuia nasi yake kwa matamanio (Uzinaa/ Uzinifu).

Sunnah :- Ndoa inakuwa ni sunnah kwa yule ambaye mwenye kuweza kuzuia nafsi yake kutokana na matamanio (Zinaa). Maana ya ndoa ni kitendo cha kuingiliana kisheria kati ya mwanamke na mwanamume.

Kwa maana Mungu anakuwa mwenye kuridhia tendo hili pia Mwenyezi Munguanawapa thawabu wenye kutenda kutenda tendo hilo.

Maana nyingine ya Ndoa ni kuchukua vitu tofauti kisha kuvifunganisha kuwa kitu kimoja. Mfano kuchukua familia ya bwana harusi na familia ya bibi Harusi kuzifunganisha kuwa ndugu.

Kwa maana ya kuwa kitu kimoja baada ya kutoka kuwa familia mbili tofauti.

Mtume Mohammad (s.a.w) amesema ndoa ni katika mwenendo wangu mimi, na yeyote mwenye kupuuza mwendendo wangu mimi si katika mimi.

Mtume anatufundisha kwamba ndoa ni katika mwendeno wake yeye na yeyote asiyemfuata mtume hayupo pamoja nae.

Kwa maana yeyote asiyeishi  katika ndoa hayupo pamoja na mtume, na asiye pamoja na mtume atakuwa pamoja katika kundi ambalo lenye hasara kubwa sana mbele ya Allah.

Je, umekuwa ukihitaji kuoa au kuolewa? lakini mikosi ya kuachwa imekuwa ikikuandama mara kwa mara? au umekuwa ukisalitiwa na mume au mke?

Usijali wasiliana na Ostadh Nguvumali kwa simu No. 0655 46 04 56. Amekuwa akiwasomea watu mbalimbali visomo na dua 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s