PATA KUJUA MALENGO YA WAFANYA VITIMBI

image1

Mpenzi msomaji, vitimbi vipo hasa na hili si jambo la propaganda. Baadhi ya watu hufanyiwa vitimbi hivyo na wake zao, waume zao, rafiki zao wa karibu, majirani pamoja na binadamu.

NB : Ikiwa Mtume Muhammad(s.a.w) amefanyiwa vitimbi na watu, Je, mimi na wewe tutasalimika na vitimbi hivyo?

Wafanya vitimbi lengo lao ni kutaka kukufunga, kukuua, wakuhamishe tena kwa udhalili mkubwa, wakutoe katika nchi yako, mji au katika cheo chako n.k.

Hivyo ndugu yangu wapo ambao hufanya vitimbi ili ufungwe, na hili halihitaji maelezo mengi, kwani lipo na tayari watu wako vizuizini, wengine wameshahukumiwa vifungo vya maisha na wengine wamekimbia na wako nje ya makazi yao na huko huko wako katika kifungo.

Pia wapo ambao hufanya vitimbi ili kuua kabisa, hawa hushirikiana na wachawi na majambazi na mbinu nyingine zozote ili wahakikishe wanakuua.

Hivyo tambua vitimbi vipo na vina madhara makubwa inshaallah. Kwa kuwa vitimbi vipo na haviachi kuwepo (Yaani vitaendelea kuwepo) lazima tutafute namna ya kujilinda na vitimbi hivyo inshaallah.

Mtume Muhammad (s.a.w) alipozingirwa nyumbani kwake ili wale vijana 40 kutoka katika kila ukoo wamuue mtume (s.a.w) alitoka na kuelekea zake madina.

Lakini mtu anaweza kujiuliza hivi :- Alitokaje mtume Muhammad (s.a.w) hali ya kuwa nyumba yake imezungukwa na vijana 40 kwa lengo la kumuua? hakika mtume alitoka tena akapita pale pale walipokuwa wale vijana 40 waliokuwa na silaha.

Hivyo ndugu yangu, ikiwa utaisoma au utasomewa dua kwa ajili ya kujikinga Makri (Vitimbi) utasalimika na vitimbi vya watu wabaya inshaallah.

Kwa wale watakaohitaji msaada wa kusomewa dua ili kuweza kuepukana na vitimbi, wasiliana na PANGA LA SHABA kwa simu No. +255 683 02 59 06

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s