MMILIKI WA HOTELI YA VILLA PARK AFARIKI KATIKA AJALI MBAYA YA GARI

Mmiliki wa kiota maarufu mjini Makambako kinachofahamika kwa jina la Villa Park, amefariki Dunia katika ajali mbaya ya gari.

image2

Pichani ni marehemu ‘Kizito’ enzi za uhai wake

Kwa mujibu wa taarifa za awali zimeeleza kwamba, mmiliki huyo anayefahamika kwa jina la Kizito alikuwa anatokea mkoani Morogoro kuelekea jijini Dar es salaam kununua vifaa kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ukumbi wake wa kisasa.

Marehemu Zitto ambaye alikuwa akitumia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T353 DGE, alikuwa akitokea kutazama mtanange kati ya Njombe Fc na Kurugenzi ambapo Njombe iliweza kufuzu kuingia ligi kuu.

Katika ajali hiyo, dereva na  abiria mmoja  ameripotiwa kupoteza maisha huku mmoja akidaiwa kujeruhiwa , ambapo chanzo kikubwa kinatajwa huenda ukawa ni mwendo kasi.

image3

image1

Baada ya ajali

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s