VIDEO : MANJI AACHIWA KWA DHAMANA

yusuph-manji

Mmiliki wa makapuni ya Quality Group na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji ameachiwa kwa dhamana.

Itakumbukwa mnamo Alhamisi Tar 09 mwezi wa 2 majira ya asubuhi, Manji na Gwajima walitii wito wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  wa kuwataka wafike kituo cha kati baada ya kutajwa kwenye sakata la madawa ya kulevya.

Hata hivyo Mchungaji Gwajima aliachiliwa huru Jumamosi iliyopita baada ya kufanyiwa vipimo na mkemia mkuu, lakini kwa upande wa Manji aliendelea kulala mahabusu kabla ya kufikishwa Muhimbili kwa matibabu jumapili iliyopita.

Tazama hapo chini kuona video ya Tajiri Yusuph Manji akiingia kwenye viunga vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo.

Picha na Video kwa hisani ya Millard Ayo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s