JITIBU UDHAIFU WA NGUVU ZA KIUME

sb10062927r-001

Al-hamdulil-laahi kila sifa njema ni zake yeye Allah Sub-hanahu wataala na rehema na amani zimuendee mtukufu wa dar-ja nabil Muhammad (s.a.w) Amaa Baad.

Leo hii nimeona iko haja kubwa niwaandikie mada hii fupi kuhusu kukabiliana na udhaifu wa nguvu za kiume.

Dawa ninazokwenda kuzielezea hapa,  zimeweza kufanyiwa majaribio na zina nguvu sana, mwenye macho haambiwi tazama, anza na wewe kutumia dawa hizi zitakusaidia inshaallah.

MBEGU ZA TIKITI MAJI : Chukua mbegu za tikiti maji kisha zikaushe kwa jua, baada ya kukauka zisage vizuri kabisa hadi upate unga wake, upime unga huo upate gram 100, unga huo uchanganye na asali ya nyuki kiasi cha lita moja. Matumizi ni kijiko kimoja cha chakula asubuhi kimoja jioni, hadi dawa yote iishe. Inshaallah ni mujarab

ANISUNI : Chemsha Anisuni kiasi cha gram 100 na maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inapotea kwa kuchemsha. Matumizi ni ujazo wa kikombe cha kahawa kimoja, kutwa mara 2 hadi maji hayo yaishe. Inshallah hii ni dawa nzuri sana.

KITUNGUU THAUMU : Ponda robo kilo ya kitunguu thaumu kisha kichemshe kwa lita moja ya maziwa ya kondoo na nusu lita ya mafuta ya samli kisha baada ya kuchemsha ondosha kwenye moto ndipo utie asali kiasi cha lita moja.

Matumizi ni kijiko cha chakula kimoja kutwa mara tatu, inshaallah dawa hii kwa khabari hizo hailinganishwi na dawa yeyote.

TANGAWIZI : Chemsha Tangawizi gram 100 kwa maji lita moja na nusu kisha iondoe kwenye moto baada ya kuhakikisha imechemka vizuri kabisa, changanya na asali lita moja. Matumizi ni vijiko vitatu vya chakua asubuhi, vitatu mchana na vitatu jioni hadi iishe, hii ni mujarabu sana.

MAFUTA YA ZAITUNI NA ASALI : Chukua mafuta ya Zaituni yanayoliwa kiasi cha ml. 230 (yaani ujazo uwe sawa) baada ya hapo kunywa ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili mpaka iishe dawa. Hii ni mujarabu sana kwa maradhi ya ukosefu wa nguvu za kiume za aina yoyote.

Je, umekuwa ukisumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi? au umehangaika vya kutosha lakini hujaweza kupata tiba mujarabu ya suluhisho la tatizo lako?

Wala usihangaike, hatimaye shida yako imepata suluhisho, wasiliana na Ostadh Nguvumali, mtaalamu bingwa wa tiba asili mwenye karama ya kipekee, anapatikana kwa simu namba : 0655 46 04 56

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s