JITIBU BAADHI YA MARADHI KWA ASALI

asali.jpg

KUJIKUNA (ALLERGY) : Tia asali ndani ya kikombe na kisha ongeza Vaslini na mafuta ya waridi (Marashi Jabali) ; jipake mahala panapowasha asubuhi na jioni na jiepushe na vinavyochochea kujikuna kama vile Mayai na Maembe,  pia kunywa asali kijiko kimoja kila siku.

UZURI WA USO : Upake asali uso wote wakati mwili upo katika mapumziko. Baada ya robo saa, osha uso kwa maji yenye uvuguvugu na kausha, halafu jipake kidogo  mafuta ya Zetuni. Endelea kufanya hivi kwa muda wa wiki moja mfululizo; basi uso utameremeta.

JERAHA (KIDONDA) : Paka asali penye kidondana na funga bendeji na uepushe umajimaji, usifunge ila baada ya siku tatu. Basi jeraha litafunga vizuri.

KUUNGUA : Chukua asali na uchanganye Vaslin kiasi kama hicho cha asali halafu jipake mahala palipoungua asubuhi na jioni mpaka ile ngozi ilioungua ibanduke.

Kwa kudura ya Allah ngozi mpya itarudi kana kwamba hukuungua, au changanya yai katika asali kiasi cha kijiko kimoja na jipake mahala palipoungua kila siku. Utaona faida yake.

KUFUNGA CHOO : Kufunga choo ni kinyume na kuharisha. Chukua maziwa baridi kikombe kimoja , koroga asali ndani yake halafu unywe, fanya hivyo asubuhi na jioni, matumbo yatalainika na kusafishika.

Kwa wale wenye kusumbuliwa na maradhi ya mbalimbali kama vile presha, kisukali, miguu kufa ganzi, ndoto mbaya, biashara kwenda vibaya, kusafisha nyota, wawasiliane na  Dokta Litaka kwa simu namba : 0783 83 70 93

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s