YAJUE MARADHI AMBAYO HUPOTEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA

nguvu-za-kiume

Yapo maradhi ambayo yakimpata mtu basi maradhi haya humpotezea nguvu za kume kwa haraka mno endapo hatayashughulikia mapema ili yaondoke.

Maradhi yenyewe ni maradhi ni maradhi yanayoambatana na njia ya mkojo kama vile : Vijiwe katika figo na katika kibofu maradhi ya gono, kisonono na kaswende.

Haya yote ni maradhi hatari sana katika kupunguza nguvu za kiume au kuzimaliza kabisa mtu akabakia hana chochote anachoweza tena.

PRESHA : Ni katika maradhi ya hatari sana katika kupunguza nguvu za kiume haraka hasa kama mtu hachukui tahadhari yoyote juu ya maradhi haya.

Watu wengi walikua na nguvu nzuri za kiume lakini kwa sasa hawana uwezo mzuri tena wa kuliendea jambo hili,  wengi wao tulipowashauri wakapime presha walijikuta wanayo maradhi hayo.

KISUKARI : Ni hatari sana katika kuzimaliza kabisa nguvu za kiume kwani maradhi haya ya kisukari na maradhi ya presha ni maradhi yanayosababisha baadhi ya mishipa kutofanya kazi vizuri.

Hivyo husababisha ganzi katika mwili kwa baadhi ya viungo na maradhi haya ni maradhi ya hatari sani kwani humdhoofisha mtu mara moja.

GANZI :  Maradhi ya ganzi yenyewe pekee ni maradhi hatari kwa kuziondosha nguvu za kiume, sikuambii yakichanganyika na presha ndani yake na kisukari, hapo ndipo inakua ni hatari zaidi na zaidi.

Hivyo basi mtu akitaka kuhifadhi nguvu za kiume zisimpotee, lazima aukague kague mwili wake kutokana na maradhi haya ambayo ni hatari sana katika kupunguza nguvu za  kiume.

RIJALI ni dawa inayosaidia kurudisha nguvu za kiume mujarabu kabisa ndani ya muda mfupi na kuimarisha mishipa inayowezesha uume kusimama vizuri.

Wasiliana na Dokta Litaka : 0783 83 70 93

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s