VIDEO : RC MAKONDA AKABIDHI MAJINA 97 YA WAUZA MADAWA YA KULEVYA KWA KAMISHNA WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI

madawa-ya-kulevya

Mkuu wa mkoa wa Dar es salam, Bw.Paul Makonda amesema orodha ya 3 ya watu 97 wanaotuhumiwa kuhusika wa biashara ya Madawa ya kulevya, inahusisha baadhi ya viongozi wa serikali ya awamu zilizopita.

Hata hivyo amesema hatawataja hadharani kama alivyofanya awali, badala yake atamkabidhi majina hayo Kamishna wa Kamisheni ya Kupambana na Madawa ya kulevya ili Kamisheni yake iweze kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s