TIBU PUMU NA KIKOHOZI KWA ASALI

Honeycombs with spoon

ASALI ni dawa, imetumika kwa matumizi ya dawa kuanzia zama za zamani sana. Tunashauriwa kuweka asali kwenye kabati jikoni kama huduma ya kwanza kama utaungua.

Asali ya nyuki wakubwa na asali ya nyuki wadogo zote huweza kutumika katika kuchanganya na virutubisho vingine kutibu magonjwa mbalimbali, ila asali wa nyuki wadogo ndiyo inayofaa zaidi.

Baadhi ya matumizi ya asali kama dawa ya ajabu na jinsi ya kuitumia kwa kuchanganya na virutubisho mbalimbali ili kutibu magonjwa maalum yanaelezwa hapa chini :

1). KIKOHOZI HUTIBIWA KWA ASALI

A. Chukua kiasi cha gramu 170 za asali changanya na gramu 50 za mafuta ya glycerine pamoja na maji ya limau (malimau mawili yatosha), glycerine hupatikana katika maduka makubwa ya chakula (supermarkets). Weka mchanganyiko huo kwenye chupa nzuri na funga, tumia mara tatu kwa siku.

B. Chukua asali vijiko viwili changanya na maji ya limao kijiko kimoja na magadi kiasi kidogo kama gramu 1 au 2, kunywa mara tatu kwa siku. Kuna imani katika sehemu nyingi za Tanzania hasa vijijini kuwa ukichanganya asali na limau au ndimu hubadilika kuwa sumu, imani hiyo ni potofu sio kweli kabisa.

2). PUMU HUTIBIWA KWA ASALI

Chukua miziz ya ndulele ndogo (Solanum sp) kiasi cha robo kilo, chemsha kwenye lita moja na robo ya maji kwa dakika 7 acha ipoe alafu weka kwenye chupa safi.

Miminia kwenye glasi moja mchanganyiko huo alafu weka vijiko vikubwa vinne vya asali na koroga sawa sawa.

Kunywa glasi moja asubuhi na glasi moja jioni lakini mchana kunywa nusu glasi.  Kunywa dawa hiyo kwa siku saba hadi 14.

Kama unasumbuliwa na tatizo la pumu, kikohozi, kufika mshindo kwa haraka, nguvu za kiume, miguu kufa ganzi, wasiliana na Ostadh Kitengula kwa simu No. 0755 34 63 08

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s