PATA KUJUA MADHARA YA JINI MAHABA

image1

Tukizungumza kuhusu jini mahaba tunapenda kumfahamisha msomaji wa blogu yetu aelewe kuwa jini mahaba ni jini wa aina yoyote ambaye anamkumba mwanadamu na kumfanya kuwa mtumwa wa kimapenzi.

JINI MAHABA anamadhara makubwa sana pindi aingiapo kwa mwanadamu japokuwa wapo majini wengine wanaweza kumwingia mwanadamu na wakatoka wenyewe bila tiba yoyote.

Lakini jambo hili huwa nadra sana kutokea kwa jini mahaba, wengi wao huwa wanakuwa wabishi sana kuondoka na jambo hili linatokana na baadhi ya majini hao uwa wanawaingia wanadamu tangu utotoni na kujidhihirisha katika utu uzima.

Au kwa wle waliotumiwa wanakataa kutoka kuogopa wale walio watuma kutokana na ahadi walizokubaliana.

Madhara makubwa kwa mtu mwenye jinni mahaba kwanza kabisa mikosi isiyohisha kwa mwanaume au mwanamke, ikiwa wawili hao hawajaoa au kuolewa kila mmoja uichukia ndoa au kutopata bahati ya kuoa au kuolewa.

Pia ikiwa ni wanandoa basi huwa na migogoro isiyoisha, jambo dogo linaweza kuzua ugomvi mkubwa sana ndani ya nyumba.

Vilevile katika jambo la unyumba mke au mume anaweza kumchukia mwenziwe bila sababu, kutotamani tendo la ndoa kwa mwanamke, kutosikia raha katika tendo la ndoa, wengine kusikia maumivu katika tendo hilo.

Mume kupoteza uwezo katika tendo la ndoa jambo ambalo linaweza kusababisha migogoro ndani ya ndoa yao, halikadhalika anaweza kusababisha mwanamke kutoshika mimba au kuharibu mimba baada ya miezi michache tu.

Vilevile mtu akiwa na jinni mahaba anaweza kuwa na mikosi na mikosi mbalimbali ikimuandama katika jamii, kikazi, kibiashara.

Ostadh Othman Nguvumali amepewa kipawa cha pekee na  karama za hali ya juu za kuweza kusoma dua na visomo za kuwaondoa  majini wabaya wanaowasumbua wanadamu.

Wasiliana nae kwa simu yake ya kiganjani : 0655 46 04 56

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s