MAKONDA AAGIZA MUME WA SHAMSA FORD ‘CHIDI MAPENZI’ AKAMATWE

shamsa-na-chidi-mapenzi

Shamsa na Chiddi Mapenzi siku ya harusi yao

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi, Paul Makonda ametoa agizo kwa jeshi la polisi kumkamata mume wa mwigizaji nyota wa Bongo, Shamsa ford, Chidi Mapenzi.

Agizo hilo alilitoa wakati akimkabidhi majina 97 ya wauzaji wa madawa ya kulevya, kamishna mpya wa tume ya kuzuia dawa za kulevya, Sianga kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Chidi Mapenzi ni miongoni mwa wafanyabiashara ya nguo ambaye alijizolea umaarufu mkubwa baada ya kuwavalisha mastaa kadhaa nchini akiwemo Diamond, Dully, jux na wengineo kupitia duka lake la Mapenzi Classic lililopo Kinondoni.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s