DAWA YA KUMTIMUA JINI MWILINI

image2

Utachukua punje saba za kitunguu saumu utazitwanga kisha utakamulia ndimu tatu, mgonjwa atajipaka mwili mzima.

Kama kuna uwezekano wa kusomewa kisomo chochote cha Qur’ani ni bora lakini mgonjwa akisomewa kisomo cha Rukya itakua bora zaidi.

MAFUTA YA ZAITUNI

Mafuta ya Zaituni yana faida kubwa sana kwa mgonjwa anayesumbuliwa na mashwetani.

Kwa mgonjwa atakaeshindwa kupata mkusanyiko wa madawa tunayoyaelezea anawezakutumia mafuta ya Zaituni kwa kujipaka mwili mzima asubuhi na jioni kwa muda wa siku arobaini.

Itakua bora sana kama atakuwa na uwezo wa kudumu nayo kujipaka katika maisha yake. Ni vizuri pia kama atachanganya na mafuta ya miski.

Pia mafuta ya Miski anaweza kuyatumia kuyapaka katika nguo zake kiasi cha tone tatu au saba.

MOYO NA NYONGO YA SAMAKI

Katiba tiba zinazokubalika kuwafukuza majinni mahaba katika mwili ni moyo na nyongo ya samaki yoyote mkubwa.

Mgonjwa atatumia vitu hivi kwa kujifukiza kwa muda wa siku tatu mpaka saba, kwa idhini ya Allah jinni huyo atakufa au kukimbia kabisa.

Katika tiba hii baadhi ya watafiti wa mambo ya tiba wamependekeza kutumia samaki aina ya Pweza.

Wanasema Maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari, kama ukiona umejaribu kufanya mbinu zote bila mafanikio, usisite kuwasiliana na Ostadh Nurdini : 0655 79 33 35 atakusaidia tatizo lako.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s