VIDEO : MANJI ACHUKULIWA NA GARI LA WAGONJWA POLISI

manji

Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manjiamekua akishikiliwa na Polisi kituo cha kati Dar es salaam toka Alhamisi ya February 9 2017 baada ya kwenda kuhojiwa kutokana na kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya watu 65 kwenye sakata la dawa za kulevya.

Jioni ya leo February 12 2017 Mfanyabiashara huyo amechukuliwa na gari la kubebea Wagonjwa lenye namba za usajili za DFP na haijajulikana limempeleka wapi lakini alionekana akitembea na kuingia kwenye gari hilo (Land Cruise Nyeupe) yeye mwenyewe bila kubebwa au kusaidiwa huku gari lake aina ya Range Rover likitangulia mbele na watu wengine.

Polisi hawakuruhusu Waandishi wa habari karibu na eneo hilo lakini hii hapa chini ni video fupi ya mazingira ya Yusuph Manji kuondolewa kwenye eneo hilo.

Picha na Video kwa hisani ya Millard Ayo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s