DUA YA SAA 1 YAMTOA WEMA SEPETU LUMANDE

Miss Tanzania 2016 na muigizaji nyota wa Bongo Movie, Wema Abraham Sepetu hatimaye amefanikiwa kutoka lumande.

wema-sepetu

Wema Sepetu alitiwa nguvuni baada ya kutii wito wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul makonda wa kuwataka wote aliowataja kujihusisha na madawa ya kulevya wafike Central Police.

Kwa mujibu wa kamanda Sirro, alisema kwamba wamekamata msokoto mmoja wa bangi na makaratasi yake nyumbani kwa wema Ununio jijini Dar es salaam na kudai atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma.

Baada ya hali hewa kuonekana kuwa mbaya kwa Wema, inaelezwa kwamba mama mzazi wa msanii huyo, aliamua kumvutia waya Ostadh Nurdini ambaye amekuwa akimsomea visomo mwanae huyo mara kwa mara.

Bila kupoteza ajizi Ostadh Nurdini Asubuhi ya leo aliweza kujipanga na vijana wake wa Madrasa na kuangusha dua ya nguvu ambayo kwa hakika iliweza kuzaa matunda baada ya Wema kufanikiwa kutoka mahakamani kwa dhamana.

Ostadh Nurdini amekuwa akiwasome dua watu mbalimbali wanaosumbuliwa na magonjwa, biashara kwenda mrama, mahusiano n.k

Anapatikana kwa No. 0655 79 33 35

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s