IUNGUZE MIZIMU YA BABA, MAMA, BIBI NA BABU INAYOHARIBU MAISHA YAKO

image

Ndugu msomaji tambua kua,  mizimu ni mashetani ya wazazi wetu waliofariki na kubakia. Hivyo mizimu hii hufuata mtu anayehusika na marehemu aliyefariki ,  kutaka makazi hapo.

Pia kutaka kuendeleza yale ambayo aliyokuwa akiyafanya marehemu mzazi wako. Hivyo ikiwa baba yako alikuwa anawanga, anaroga, anakula nyama za watu, anawaita watu misukule,  basi tambua mizimu hiyo itahitaji kufanya kazi hiyo uiendeleze.

Pindi utakapokataa na hapo ndipo hekaheka zinapoanza,  yaani komoa nikukomoe,  shida zako hapo ndipo zitakapoanza,  ulikuwa na watoto,  watoto wataanza kuugua maradhi ya ajabu ajabu na mara tu wamefariki.

Wengine alikua hajapata mtoto basi hapo ndio mtoto hapatikani tena.  Ulikua na mumeo basi utaachika au ugomvi kila kukicha,  ulikua na mipango yako ya maisha basi haikamiliki inavurugika.

Ulikuwa na mumeo basi utaachika au ugomvi kila kukicha, ulikua na mipango yako ya maisha basi haikamiliki inavurugika,  ulikuwa na biashara zako,  basi biashara hiyo hupatikana hasara za ajabuajabu tu.

Mbaya zaidi haya hutokea pasina kujua tatizo ni nini,  hivyo utajikuta unapambana na maisha kumbe kuna kiumbe nacho kinapambana na wewe usifanikiwe,  huu ni mtihani mmkubwa sana ndugu zangu.

Matatizo haya asili yake ni marefu mno,  mathalani yawezekana yalianza enzi ya babu wa babu wa baba yako,  wala usiteseke Ustadh Kitengula atakutatulia tatizo lako.

Wasiliana nae kwa simu namba 0755 34 63 08

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s