BEYONCE, JAY Z WATARAJIA MAPACHA

beyonce-and-jay-z

Mwanamuziki nyota wa Marekani, Beyonce Knowles na mume wake kipenzi  Jay Z wanatarajia kuongeza wanafamilia wengine kwenye familia yao.

Hiyo ni baada ya Beyonce ku-share picha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram na kuwajuza mamilioni ya mashabiki zake kuwa wanatarajia kupata watoto mapacha.

beyonce

“Tunapenda kuwashirikisha furaha na upendo wetu, tunategemea kupata mapacha, tunafarijika sana kwamba familia yetu inazidi kukuwa, tunawashukuru kwa dua zenu”, alindika Beyonce Instagram

Beyonce na Jay Z wana mtoto mmoja wa kike aitwaye Blue Ivy aliyezaliwa mwaka 2011, ikiwa ni miongoni mwa couple za mastaa wakubwa Dunia zilizodumu mpaka leo.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s