SHILOLE KUFUNGUA MGAHAWA MKUBWA WA CHAKULA KINONDONI

shilole

Staa nyota wa muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ yupo kwenye hatua za mwisho za kufungua mgahawa mkubwa wa chakula.

Chanzo chetu cha habari kiliweza kuzungumza na Shishi Baby kwa njia ya simu yake ya kiganjani na alikuwa na haya ya kusema : 

Kusema kweli namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kupiga hatua nyingine, nategemea kufungua mgahawa mkubwa wa chakula Kinondoni utakaokuwa unatoa huduma kwa wateja watakaokuwa wanafika kwenye mgahawa wetu na wale tutakaokuwa tunawapelekea maofisini“.

Pia Shilole ametajwa kuwa miongoni mwa wasanii wa kike nchini wanaoingiza mkwanja mrefu kupitia kazi zao za sanaa na biashara wanazomiliki.

Mafanikio yote hayo yanatajwa kuwa baada ya kufanyiwa  visomo na dua kwa Ostadh Kitengula anayepatikana kwa namba : 0755 34 63 08

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s