AZAM FC WATWAA KOMBE LA MAPINDUZI

azam-fc

Kikosi cha Azam Fc kimefanikiwa kuibuka kifua mbele dhidi ya mahasimu wao, Simba Sc katika mtanange uliopigwa hapo jana kwenye uwanja wa Amaan kisiwani Zanzibar.

Wanalambalamba wa Azam waliweza kuandika historia nyingine baada ya kufanikiwa kuchukua kombe la Mapinduzi kwa mara ya tatu ikiwa ni idadi sawa na Simba na kuweza kuuanza mwaka 2017 kwa kishindo.

Shuti kali za kiungo wa Azam Fc,  Himid Mao mnamo dakika ya 13 ya kipindi cha kwanza na kuiwezesha timu yake kuweza kutwaa taji hilo mbele ya Rais wa Zanzibar na baraza la Mapinduz, Dkt.Ally Mohamed Shein.

Matokeo haya yananifanya nizidi kuwa na imani zaidi na Ustadh Kitengula ambaye siku moja kabla ya mtanange huu wa fainali, nilimpigia kupitia namba yake 0755 34 63 08 kutaka kujua utabiri wake.

Mtaalam huyu wa kutafsiri ndoto na kusoma nyota aliweza kunihakikishia kuwa Azam watachukua kombe la Mapinduzi kwa ushindi kiduchu.  Na kweli kauli yake imeweza kuzaa matunda.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s