ZIJUE BAADHI YA DAWA ZA MITI ZITAKAZOKURAHISISHIA KUMTOA JINI YOYOTE KATIKA MWILI

wallpapers-bright-green-herbs

Unaweza kuchukua mti uitwao “Msaka Uchawi” au “Kisaka Uchawi”,  mti huu ufanye uwe unga,  unga wa mti huo upime vijiko vitano tu vya chakula na wala usizidishe,  kisha tia katika maji lita tano(5) halafu chemsha maji hayo,  hakikisha yamechemka hadi yamebakia lita nne na nusu. (4.5).

Matumizi ni vijiko 2 vya chakula kutwa mara 3. Tafadhali usizidishe kipimo hicho kwani dawa hii ikizidi huleta hali ya kutapika, anywe hadi amalize dawa hiyo yote inshaallah ni mujarab.

Dawa nyingine ni :- Mizizi ya mzamnbarau, mizizi ya mkorosho, mizizi ya mkuyu na miziz ya mnyonyo. Mizizi hii chuna magome yake yaani chuna magome ya mizizi ya miti hii,  kisha ikadirietu maana haina kipimo maalum,  sasa ukishapata mizizi hiyo itie katika sufuria kisha tia maji kiasi cha glasi moja na nusu,  kisha chemsha hadi ibaki glasi moja,  alafu ikiwa na moto moto kidogo mpe mgonjwa anywe dawa yote.  

Hakika ile sihiri aliyokula au iliyo mwilini kwake ataitapika yote baada ya saa moja inshaallah.

Kwa wale wanaohitaji kupata msaada wa kutengenezewa,   wasiliana na Ustadh  Abdallah kwa simu namba : 0743 53 79 98

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s