KWA NINI WANAUME HUISHIWA NGUVU ZA KIUME?

impotence

Kuishiwa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni, au yote mawili kwa pamoja.

Hatari ya kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka kutokana na umri. Kulingana na tafiti za kitabibu,  wanaume wenye umri kuanzia miaka 60, tatizo hili ni kubwa kwao kuliko wanaume wenye umri chini ya miaka 40.

Hata hivyo siku hizi vijana wengi wana tatizo la kuishiwa nguvu za kiume. Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume linaweza kuwa na sababu za kihisia (emotional causes) lakini sababu nyingine hutokana na maradhi kama vile kisukari (diabetes) n.k.

Inakadiriwa kuwa asilimia 50 – 60 ya wanaume wenye maradhi ya kisukari wana tatizo la uume kushindwa kusimama ; pia watu wanaosumbuliwa na kiharusi.

Hata hivyo, upungufu wa nguvu za kiume unatibika katika umri wa rika zote.  

Kwa wale wanaohitaji dawa za miti shamba za kutibu tatizo la nguvu za kiume na uume kulegea, wasiliana na Ustadh Shariff Manungu kwa simu namba : 0676 90 01 08

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s