DALILI ZA KUWA NA JINNI JALABI WATAHADHWIYR

www.hdnicewallpapers.com

Hii ni aina ya jinni ambao ni hatari sana katika makundi ya majini ambao hupendelea kumvaa binaadamu.

Jinni huyu ndugu yangu ni jinni mbaya sana. Kazi zake jinni huyu ni kutumwa na wachawi kuchukua kitu kutoka sehemu moja na kukipeleka sehemu nyingine.

Na mara nyingi sana majini hawa ndio watumwao na wachawi kuchukua vipande vya nguo za watu ili wafanyiwe mambo ya kichawi na wachawi hao.

Ndio leo hii unaweza kua umeweka vitu au nguo zako sehemu, halafu unakuta nguo hizo hazipo au unakuta zimekatwa na kuchukuliwa kipande kidogo bila wewe kujua nani amefanya jambo hilo.

DALILI ZA JINNI HUYU BAADA YA KUMVAA MTU NI: 

  1. Kupenda uchafu na kukaa gizani (yaani mgonjwa hupenda kua mchafu na hupenda kukaa katika giza totoro).
  2. Mgonjwa hupata maradhi ya upofu au kupooza viungo vyake kama mguu na mkono au kupooza mwili mzima kiujumla.
  3. Mgonjwa hupenda kuzungumza uongo au kusikiliza maneno yatokayo kwa watu waongo.
  4. Mgonjwa huwa hapendi kufanya ibada na kumtii Mwenyezi Mungu na kufanya kheri.
  5. Mgonjwa huwa hapendi kufanya ibada na kumtii Mwenyezi Mungu na kufanya kheri.

Hizi ndizo dalili zake baada ya kua jinni huyo kamvaa mtu na lazima ufahamu kua sio lazima zikusanyike dalili zote hizo nilizoziorodhesha,  ikipatikana dalili hata moja  katika hizo ujue huyo anayo matatizo ya jinni huyu.

Kama unahitaji kusafishwa nyota, kusomewa dua, mvuto wa biashara au unasumbuliwa na mapepo na mashetani, wasiliana nae kwa simu namba : 0757 47 91 43 .  

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s