UHUSIANO WA DHAKARI YA NG’OMBE (DUME KUBWA) NA NGUVU ZA KIUME

ngombe-dume

Hakika zikichukuliwa dhakari za ng’ombe kwa idadi atakayoweza mtu, kisha dhakari hizo akazikausha kwa kadri atakavyoweza iwe ni kwa jua au ni kwa moto vyovyote itakavyomuwea nyepesi.

Kisha ikishakauka dawa hiyo itabidi aisage na chumvi maskati kidogo, na ikiwa hakupata chumvi maskati kidogo basi , na ikiwa  hakupata chumvi maskati kidogo basi atatumia chumvi ya kawaida tu.

Akimaliza kuisaga vizuri kabisa sasa,  hii itakua tayari inakua ni dawa madhubuti ya kuongeza nguvu za kiume kw kiwango cha juu zaidi na zaidi.  

Matumizi yake ni kama ifufatavyo :  Wakati ukitaka kufanya tendo la ndoa na mkeo kwa dakika moja au mbili hivi, lamba unga wa dawa hiyo kiasi cha nusu kijiko cha chai kisha inyonye nyonye hiyo dawa hapo mdomoni kisha imeze.

Hakika dawa hii ni katika dawa zenye nguvu  zaidi katika kuongeza nguvu za kiume. Dawa hii inshaallah ni katika dawa zenye nguvu sana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s