HII NDIO SIRI YA AUNTY EZEKIEL KUTULIA KWA MOSE IYOBO

Siku nyingine tena waungwana tumekutana kwa rehema za Mwenyezi Mungu, hatuna budi kumshukuru yeye, ikiwa ni siku ya kwanza ya juma baada ya mapumziko mafupi ya weekend.

mose-iyobo-na-aunty-ezekiel

Wakati nikiwa kwenye pilikapilika zangu za hapa na pale, ghafla nikakutana na mjadala kwenye kijiwe kimoja cha kahawa, kama ilivyo ada kwenye wengi huwa hapakosi mengi.

Mada iliyokuwa inazungumziwa ni kuhusu utulivu wa muigizaji nyota wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel, ambaye yupo kwenye mahaba mazito na dansa wa Diamond, Mose Iyobo, ambao wamejaliwa kupata mtoto wa kike.

Upande mmoja ulikuwa ukidai kwamba moyo wa mwanamke ukipenda,  basi ujue umependa kweli, wakati upande wa pili walikuwa wakidai kwamba ile ni kama movie na kutafuta kiki, lakini penzi lao halitakuwa na maisha marefu.

Katika kuweka mzani sawa, blogu hii ilijaribu kuwapigia wahusika, Aunty na Mose lakini simu zao zote ziliita bila kupokelewa, chanzo chetu kilienda mbele zaidi na kumtamfuta mtu wa karibu na mastaa hao huku akiomba jina lake kutotajwa.

Alikuwa  na haya ya kusema, “hata sisi wenyewe tunashangaa, maana Aunty tunamfahamu ni staa ambaye amekuwa akitoka na watu wazito, lakini kwa Mose tunaona ametulia na mpaka ameamua kumzalia“.

Lakini yupo sheikh mmoja ambaye amekuwa akiambatana sana na Aunty japo kwa siri sana,  anaitwa Ostadh Kitengula, anasifika sana kwa kuwasomea watu dua na visomo, bila shaka atakuwa ndio huyo. aliongeza mnyetishaji

Blogu ya ASILI ZETU  iliweza kupata namba ya simu ya kiganjani ya Ostadh Kitengula  ili kuweza kudhibitisha kile kilichokuwa kinasemwa na watu.

japo sipaswi kutaja siri za mteja, lakini nimekuwa nikiwafanyia visomo mastaa wengi, wafanyabiashara wakubwa, wa kati na wadogo, wanasiasa, wanafunzi na watu wa rika mbalimbali ndani na nje ya nchi“, alisema Ostadh Kitengula.

Ostadh Kitengula ni mtaalamu bingwa wa utabiri wa nyota na kutafsiri ndoto pia huwasomea visomo na dua watu wenye matatizo mbalimbali.

Kwa mawasiliano zaidi : 0755 34 63 08 .  

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s