NYOTA NA JINSI ZINAVYOTUMIKA KWA WANADAMU

nyota-zako

Kila mwanadamu huwa na nyota mwilini mwake na kawaida nyota katika mwili huwa 12 kiidadi,   sasa kuna nyota kuu mwilini,   hii ndio huwa na nafasi ya utawala mwilini. 

Wapo ambao nyota upungua kiidadi au nyota kufifia au kuwa giza kukosa mwanga au nguvu na nyota hizo kuu  ni kama ifuatavyo : N’GE,  MSHALE,  MBUZI,  NDOO,  SAMAKI,  KONDOO,   N’GOMBE,  MAPACHA,   KAA,  SIMBA, MASHUKE na MIZANI.

Katika nyota hizi kila mwanadamu nyota yake kuu na inayo asili yake  na tabia ya nyota hiyo katika maisha asili za nyota zipo nne tu 4 nazo ni  MOTO,  MAJI  UDONGO KWA MAANA MCHANGA  NA UPEPO.

 Hizi ndizo asili za nyota mwanadamu ukiwa na tatizo la kinyota huwa mtihani sana maishani, hilo ni tatizo na ni zaidi ya ugonjwa, unaweza kukosa  vitu vingi 
maishani ambavyo ni stahiki yako,  unaweza kukosa mke au mume,  unaweza kuwa na mke sio au mume sio.

Unaweza kuwa na mpenzi msieendane kinyota ikawa vurugu, ugomvi, matatizo,  hamfanikishi,  hampati mtakalo,  kukosa kufikia malengo,  kukosa ajira,  kukosa kazi na mtu anaweza kuwa na kazi inayopingana na nyota yake au akawa na bishara yenye kupingana na nyota yake.

Ni vizuri kujuwa na kufahamu kinyota unatakiwa ufanye nini cha kuipa nguvu nyota yako, wapo wenye vipaji, ujuzi na taaluma mbalimbali lakini wanapata vikwazo, vizuizi kutokana na nyota zao.

Nyota zote zina siku zake za bahati, zina rangi zake za bahati na namba zake kuu za bahati, kuna nyota zinahitaji uwe mkulima au mfugaji zipo zinahitaji uwe mvuvi au mchimbaji wa madini.

 Zipo ambazo zinahitaji uwe muuza nguo au bidhaa za chakula zipo nyota zinahitaji uwe mlezi tu,   zipo zinahitaji uwe kiongozi,   zipo nyota za utawala zipo nyota za kusaidia watu tu,   zipo nyota kitabia hazihitaji kutumwa au kuajiriwa, zinahitaji kutuma na kuajiri.

Pia zipo nyota nyingi kuu zenye tabia mbali mbali hasa katika maisha ya mwanadamu, zipo nyota mtu unapokuwa nae inakuwa msaada mkubwa sana kwake, iwapo itang’aa vizuri na kuwa na nuru na mwanga mzuri.

Halikadhalika zipo nyota ambazo zinafungwa au kuharibiwa kiuadui au zinazimwa au zinafifishwa zinakuwa na kiza,  zinashushwa au zinaharibiwa.

Kwa wale wanaohitaji huduma ya kusafisha nyota, kusomewa dua na kisoma, wasiliana na Ostadh Nurdini : 0655 79 33 35

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s