JANETH JACKSON APATA MTOTO WA KIUME

janet-jackson

Janet Jackson na Mume wake

Mwanamuziki nyota wa Marekani, Janet Jackson, ameingia kwenye  orodha ya mastaa wa kike Duniani wenye watoto, baada ya kujifungua mtoto wa kiume wikiendi iliyopita.

Mtoto huyo aliyepewa jina la Eissa lenye maana ya wokovu wa Mungu, amemfanya mama yake Janet kuwa staa wa kwanza wa kike kuzaa akiwa na umri mkubwa wa miaka 50 akifuatiwa na Halle Berry.

Inaelezwa kwamba dada huyo wa mkali wa pop Duniani, marehemu Michael Jackson,  Janet, amefuata dini ya mumewe, Wissam Al Mana, bilionea wa Falme za kiarabu baada ya kujifungua mtoto huyo.

Hali ya mama na mtoto imeripotiwa kuendelea vizuri.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s