ZIFAHAMU DALILLI 14 ZA KUWA NA JINI MAHABA.

jini

Dalili ya mvua ni mawingu,  binadamu tumeumbwa na udongo na maji, lakini majini wao wameumbwa kwa moto, wapo majini wazuri halikadhalika wabaya.

Unaweza ukawa unatokewa na dalili moja au zaidi mara kwa mara katika mzunguko wako wa kila siku wa maisha, nikiwa na maana katika kipindi cha saa 24.

Pia huenda ukawa unatembea na jini pasi na wewe kujua, ndio maana nimekuwekea baadhi ya dalili za kufahamu kama unaishi na jini mahaba.

 1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti.
 2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama.
 3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto.
 4. Kutokudumu kwnye mahusiano kama ndoa au mchumba.
 5. Kuwa na hasira za haraka. 
 6. Kukwama kwa mipango yako.  
 7. Kupoteza pesa au vitu vya thamani, unaweza ukaweka pesa kwenye walet au mahali salama kabisa kisha ukakuta zimepungua.  
 8. Kutokuwa na hamu ya mapenz kwa wanawake na wanaume kutokuwa na nguvu za kiume.    
 9. Kuota umefunga ndoa.    
 10. Maumivu ya kichwa,mgongo,kiuno na tumbo haswa chini ya kitovu.        
 11. Kuvulugika siku au kuharibika kwa mimba au kutoshika mimba kabisa.    
 12. Kuumwa U.T.I isiyoisha inayojirudia.
 13. Kutokupenda kabisa mahusiano.
 14. Matiti kujaa au kutoa maziwa na hauko mjamzito au unanyonyesha.

Kama unasumbuliwa na jini mahaba, jini chuma ulete au maruhani, usisite kumpigia Ostadh Abdallah kwa mawasiliano : 0743 53 79 98.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s