YAJUE MATUKIO YA NYOTA YAKO KWA MWAKA 2017

nyota-zako

 *KONDOO*.

Mwaka huu utapata taarifa nyingi zenye utata.
Jitahidi kuzichunguza taarifa zenyewe kuliko kuzipokea kama zitavyokufikia.
Shughuli nyingi zitatokea.
Wasaidie ndugu zako.
Marafiki wataongezeka.
Namba ya bahati ni 52.

*Maradhi*: Utasumbuliwa zaid Meno,uzito wa kusikia na maumivu ya kichwani.

*Mapenzi*: Utadaiwa madeni ajili ya mpendwa wako.
Utaongopewa zaidi.

 

 *NG’OMBE*.

Unayo nafasi nzuri ya kujenga na kuboresha makazi yako.
Akiba zako zitapotea.
Utazuiliwa mara kwa mara.
Utafahamu khatma ya mambo yako mengi ndani ya mwaka huu 2017.
Namba ya bahati ni 35.

*MAPENZI:* Utafanikiwa ajili ya mpendwa wako.

N.b
Ikiwa huna mikosi ndipo utafanikiwa zaidi.

*AFYA:* Sauti itasumbua mara kwa mara .
Uzito wa kusikia utajitokeza.
Maumivu ya koo.

 

 *MAPACHA.*

Maisha yatapata wepesi mara kwa mara.
Utazushiwa jambo zito.
Utatumia hovyo mali zako.
Utapendwa zaidi.
Namba ya bahati ni 72.

*N.b*
Hali hii inahitaji upewe ushauri mara kwa mara kila unapohitaji kufanya jambo la maendeleo ili kudumisha neema .

*MAPENZI* Utapata nafasi ya kuendeleza makazi au kujenga ajili ya mpendwa wako.
Utafurahikiwa na marafiki zenu.

*AFYA* Utaugua zaidi viungo mwilini.
Mabega , na sehemu za maungo ya kupumua.

 

 *KAA.*

Mwaka huu mtasumbuliwa zaidi magonjwa mara kwa mara.
Mtatuhumiwa zaid ajili ya mahusiano na wapendwa wenu.
Utatengwa au kuachwa.
Utafanyiwa ujeuri mara kwa mara.
Mambo mengi yatakuharibikia.
Rangi ya nguo kwa bahati ni Nyeupe na njano.
Namba ya bahati ni 64.

*MAPENZI* Ni vizuri uwe mpole kwa huzuni zitakazo kufikia ajili ya mpendwa wako.
Uongi utaopokea uwe mpole .
Yapo mambo yatakwama ajilu ya mpendwa wako.

*AFYA*Utasumbuliwa kwenye mfumo wa kusaga chakula.
Akina mama itakua zaid kuyapata maumivu kwenye mfuko wa uzazi.
Pia taabu ya kupumua.

 

 *SIMBA*.

Mwaka huu ni mwaka mzuri utampata umtakae.
Waliopo kwenye mahusiano au ndoa watazozana mara kwa mara.
Utapoteza vitu vyako.
Utakimbiwa .
Namba ya bahati ni 83.

*MAPENZI* Ni vzuri mkapime afya zenu mara kwa mara.

*AFYA* Utasumbuliwa magonjwa ya manjano.
Na figo.
Na haja ndogo matatizo ya mara kwa mara.

 

 *MASHUKE*.

Mwaka huu utasumbuliwa wasi wasi zaidi.
Fitna zitaongezeka.
Ahadi zako hazitotimia.
Utaibiwa mara kwa mara.
Wanaokudai watahitaji walipwe.
Namba ya bahati ni 30.

*MAPENZI* Utafanikiwa zaidi.
Biashara pia.

*AFYA* Matatizo ya maumivu ya utumbo mdogo .

 

 *MIZANI*.

Mwaka huu utafanikiwa safari za mbali….au ukifuatilia visa utafanikiwa.
Kuongopewa kutajitokeza zaidi.
Mawazo kuhusu mipango ya maisha usiipuuze.
Namba ya bahati ni 19.

*MAPENZI* Habari utazopata zitakusaidia kuongeza upendo.
Muhim jitahidi kuwa makini kwa taarifa zote utazosikia.

*AFYA* maumivu ya kichwa yatasumbua.
Maumivu ya tumbo na kwenye mfumo wa haja ndogo.

 

 *NGE*.

Mwaka huu utafanikiwa mahitaji yako.
Utasumbuka kwa mambo ya mzazi wako.
Utajulikana zaidi mwaka huu.
Namba ya bahati ni 47.

*MAPENZI* Utaimarisha makazi yako ajili ya mpendwa wako.
Na utajua tatizo lilokua limejificha.

*AFYA* maumivu ya mgongo. Maumivu ya mgolo.
Haja ndogo pia.

 

 *MSHALE*.

Mwaka huu utapata marafiki wengi wataokusaidia shida mbali mbali.
Utapata pesa kutoka kwa marafiki.
Utajenga au utamalizia ujenzi.
Rangi ya mavazi ni nyeupe na kijani isioiva.
Namba ya bahati ni 66.

*MAPENZI* Utafurahika kwa kupata wana.
Utasingiziwa mara kwa mara.
Mipango ya maisha itaongezeka.

*AFYA* Utasumbuliwa makalio. Maumivu ya mgongo.

 

 *MBUZI.*

Mwaka huu utaugua mara kwa mara.
Utaongopewa sana.
Utajuta zaidi.
Utaibiwa mara kwa mara.
Maisha yatakua magumu kwako.
Rangi za nguo ni nyeusi na kijani kibichi.
Namba ya bahati ni 94.

*MAPENZI* Utaacha…utapoteza kitu muhimu ajili ya umpendae.
Utapata maradhi kua mwangalifu.

*AFYA* Utawashwa mwili mara kwa mara.
Magoti yatasumbua zaidi.
Na maumivu ya matumbo.

 

 *NDOO.* 

Mwaka huu unahitajika kuangalia afya yako mara kwa mara.
Unaeza kuanzisha jambo lolote litafanikiwa.
Uwe mwangalifu zaidi.
Namba ya bahati ni 59.

*MAPENZI* Utaempata mwaka huu ni mwenza ambae ni muafaka.
Mizozo itakufika mara kwa mara.
Utagombana mara kwa mara.

*AFYA* Upungufu wa damu utajitokeza mwaka huu.
Macho kupata kiza zaidi.
Magoti na magoko yatasumbua.

 

 *SAMAKI*.

Mwaka huu utapata zaidi mipango ya pesa.
Wataohitaji msaada wako wasaidie.
Epuka sana kuwasema wenzio au kutoa ya moyoni bila uangalifu.
Namba ya bahati ni 60.

*MAPENZI* Fitna zitaon gezeka ajili ya mpendwa wako.
Utaibiwa pia.

*AFYA* Mafua yatasumbua.
Maumivu ya mgongo yatakuandama.
Ubaridi zaidi kwenye nyayo zako.

Mtayarishaji wa makala haya ni mtaalamu wa tiba za majini na ushauri kuhusu nyota.

Kama unahitaji kusafisha nyota/ kutazamiwa nyota yako : 0655 79 33 35

 

Advertisements

4 responses to “YAJUE MATUKIO YA NYOTA YAKO KWA MWAKA 2017

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s